Market Information & News
Stay updated with the latest agricultural market trends, prices, weather updates, and industry insights from across Tanzania.
Latest Market News
Stay informed with real-time agricultural market updates
AFRICA AGRI EXPO REGISTRATION CLOSING SOON!!
africaagriexpo Registration Closing Soon! Thousands of farmers, agribusiness owners, dealers, distributors, livestock professionals, poultry produc...
COPRA-TZ MNADA WA KWANZA WA MAHINDI MEUPE
Mnada unatarajiwa kufanyika Mkoani Rukwa tarehe 6 Agosti, 2026 katika wilaya za Sumbawanga, Nkasi na Kalambo
Jukwaa la kisasa la biashara za kilimo na wadau wote
Jukwaa la kisasa la biashara za kilimo na wadau wote banda la ubunifu la vijana, kwanini kushiriki, jisajili sasa, na vigezo vikuu
UWEKEZAJI KWENYE KILIMO CHA CHENZAπ CHUNGWA NA LIMAO π
Kwa wale mnaotaka kuwekeza kwenye kilimo cha CHENZAπ CHUNGWA NA LIMAO π Sasa zitakuwepo aina mpya kabisaaa kama unavyo ona hapo pichani hiyo ni...
NAFASI ZA KAZI Wanahitajika vijana 5 kwa ajili ya kwenda lupembe kwenye shamba la Parachichi,
Wanahitajika vijana 5 kwa ajili ya kwenda lupembe kwenye shamba la Parachichi, Kufanya kazi kwa muda wa miezi miwili, Mwenye Connection anijuze...
SHAMBA LINAUZWA NJOMBE MAENEO YA NUNDU
Shamba hili hapa lipo Njombe maeneo ya Nundu linauzwa, Shamba lina heka 10 Toka barabaran ni kilometa 3 tuu, Bei kwa heka ni sh 1.7milion...
π Africa's BIGGEST Agri Expo is back β and this time, it's the Jubilee Edition! π
π Africa's BIGGEST Agri Expo is back β and this time, it's the Jubilee Edition! π Join 10,000+ industry visitors at the 10th Africa Agri Expo, co...
CHONGOLO AWAHAKIKISHIA WAKULIMA SOKO LA MAHINDI
##HABARI,, WAZIRI WA KILIMO MHE. DANIEL GODFREY CHONGOLO, amesema serikali inatambua changamoto ya kushuka kwa bei ya mahindi kipindi cha mavuno kutok...
π―π₯π₯ASALI ASALIπ₯π₯π―
Asali ya Nyuki Wakubwa & Nyuki Wadogo Inapatikana Ina: * Rangi ya Gold na Amber * Imechujwa Vizuri βBei Asali Nyuki Wakubwa Tsh 180,000 kwa...